Mawakala wa mauzo Dar es salaam

Hawa jamaa wanakua sana au nini?

Haipiti miezi mitatu bila kutoa tangazo lao la watu wa mauzo.
 
Tangazo halijakamilika. Mshahara kiasi gani? Majukumu ni yapi? Acheni ujanja ujanja na utapeli
 
Ila bongo bhana! Job description hakuna af ni tangazo la kazi??!! Hata kama huna kazi usijichoshe kuapply hapa aisee
 
Hao platinumz ikipita siku hujaona tangazo lao la kazi ni bahati sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…