INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

Chorter

Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
41
Reaction score
68
Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi,

bei 1kg=800tsh
Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4
Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za tangawizi kujipatia mzigo kwabei nafuu sana.
Tunapatikana RUNGWE-Mbeya lakini mzigo usiozidi gunia 5 tunatuma kwa magari ya mizigo sehemu nyingi tz bara.
NB tangawizi Ni kiungo,dawa na pia Ni kinywaji kizuri sana, tutumie tangawizi mara kwa mara ili kuimarisha kinga zetu na kuboresha afya kwaujumla, hasa kipindi hiki Cha covid19.
MAWASILIANO zaidi piga no 0782284770.
Ahsante!

IMG_20210707_075450_0.jpg


IMG_20210707_075440_1.jpg


IMG_20210611_142214_2~3.jpg


IMG_20210611_125843_3.jpg


FB_IMG_1625655951044.jpg


FB_IMG_1622748876806.jpg
 
Back
Top Bottom