Mawakala wa ushuru na forodha pamoja na wateja wa bandari ya dar waandamana

Mawakala wa ushuru na forodha pamoja na wateja wa bandari ya dar waandamana

Kwayu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
502
Reaction score
96
Baadhi ya wateja na mawakala wa ushuru na forodha ktk bandari ya dar wanaandamana muda huu wakishinikiza kuonana na Mwakyembe. Hii ni baada ya utaratibu mpya alotangaza waziri wa jinsi ya kulipia mizigo kuwa kikwazo na karaha ktk utoaji wa mizigo. Waandishi wa habari mnaweza kwenda maeneo ya bandari kupata taarifa zaidi.
 
Haka ka nchi ni migomo na maandamano daily!why ?
 
Mh!wakalipie benk huko hamna lolote ni wizi na utaratibu wa kutaka kumuhujumu tu,wameambiwa walipie ben malipo yote kwanini wakatae kama sio wizi?............harakati nyingine za hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom