Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Akili zako fupi sana hizi hujawaza kama Hao mawakala wametumia line yako halafu huyo alieuziwa akatumia hio chip kufanyia uharifu..?Ubaya wake ukipoteza hiyo line ndo mwisho wako kuipata. Hata iwe na milioni 15 hutapewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitoa taarifa wapi au ulishia kuangalia tu?Heri ya Krismas na Mwaka mpya wanaJF!
Usajili wa laini kwa alama za vidole umekuwa changamoto kubwa sana miongoni mwetu hapa nchini. Kutokana na hilo watu wamekuwa wanachukua njia mbadala ili kuepuka kufungiwa laini zao.
1. Baadhi huwachukua marafiki/ndugu/jamaa wenye vitambulisho na kwenda kusajiliwa laini zao. (Usajili ni sh. 1000/=)
2. Kuna mawakala wanauza laini zilizokwishasajiliwa ambapo laini moja inauzwa elfu 5+ (Nilishuhudia kwenye mnada fulani wakala ameuza laini 20+ ndani ya nusu saa).
Je, hawa mawakala wamesajili hizo laini kwa vitambulisho vya nani?
Inawezekana mawakala wanaouza line zilizosajiliwa wameunganisha mipango huko NIDA au wamepata kitambulisho cha mtu hata aliyefariki basi wanaendelea kusajili maline. Ujue hiyo komputa yao inasajili tu ikiona upoNIDA haijali ni laini ngapi.NI HATARI KAMA MTU HUYO YUKO HAI UHALIFU UKIFANYIKA ATAHUSISHWA. Pia zaweza kuwa laini za mtego USALAMA maana wanajua wahalifu watazipenda sana za namna hiyo kumbe wanajininginiza kwenye mtego.
Hapo ndipo maisha huwa magumu zaid.Root said:Ubaya wake ukipoteza hiyo line ndo misho kuipata. Hata iwe na million 15 hupewi
Na alama ya kidole watachukua kaburini??Inawezekana mawakala wanaouza line zilizosajiliwa wameunganisha mipango huko NIDA au wamepata kitambulisho cha mtu hata aliyefariki basi wanaendelea kusajili maline. Ujue hiyo komputa yao inasajili tu ikiona upoNIDA haijali ni laini ngapi.NI HATARI KAMA MTU HUYO YUKO HAI UHALIFU UKIFANYIKA ATAHUSISHWA. Pia zaweza kuwa laini za mtego USALAMA maana wanajua wahalifu watazipenda sana za namna hiyo kumbe wanajininginiza kwenye mtego.
Mkuu kuna watu walisajili line before hawajafikwa na mauti na vitambulisho vyao vipo mfano halisi baba yangu mm amesajili 2012 na 2013 amefariki na 2014 kitambulisho kimetoka sema hatukufatilia tena mkui