Mawakili na Wanasheria mashabiki Yanga: Tutaenda Mahakamani kupinga maamuzi yoyote ya hovyo yatakayotolewa na TFF/bodi ya ligi dhidi ya Yanga

Nyuma mwiko ni wahuni na wanasiasa.Na ukweli ni kwamba wanaungwa mkono na wanasiasa wao.
Maumivu waliyonayo ni wao kufanya vibaya kimataifa.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ila uoga wa hii timu umepitiliza aisee! Baada ya kupiga hesabu zao, wakaona watengeneze tu tukio la kuwaokoa na kichapo! Na kwa kweli wamefanikiwa lengo lao.
Mi nadhani waoga ni wale waliowazuia wenzao wasifanye mazoezi,sijui waliona nini endapo wangeruhusu hayo mazoezi kufanyika,inaonekana kuna disaster kubwa sana ingetokea
 
Simba Ina watu makini sana. Hii sinema toka umeaza Simba walitoa tamko moja tu halafu Wameka kimya ila Yanga kuanzia viongozi, wanasheria, mashabiki, machawa, nk ni kelele na kuandika makala ambazo hazieleweki. Kuonesha jinsi gani wamepagawa Jana wamepeleka basi lao Mo arena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…