Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 79
- 1,444
Tuliwaambia tangu mwanzo kwamba kuenguliwa kwa wakili Boniface Mwabukusi kulikuwa na mkono wa serikali kwa sababu kuna majizi huko serikalini ambayo hayataki Mwabukusi awe Rais wa TLS. Leo asubuhi mawakili wa serikali wanaomba ku-join kwenye kesi ya kuenguliwa kwa Mwabukusi.
Kwenye kesi hiyo wajibu maombi ni TLS lakini mawakili wa serikali wameomba ku-join ili wasaidiane na TLS dhidi ya Mwabukusi. Ndio maana tangu mwanzo tuliwajulisha kwamba majizi kutoka huko serikalini yamehusika kwa mkono wa nyuma kumkata Mwabukusi kugombea TLS.
Tutaendelea kuwapa taarifa huku mapambano yakiendelea. No Mwabukusi No Election.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Pia soma==>> Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS