Mtashinda maana nina uhakika by 100% judges will not allow this Shit!View attachment 3688922
Mawakili wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wametangaza vita vya kisheria kupinga jaribio lolote linalofanyika kumwondoa na kumvua uwakili Rais wao, Wakili Boniface Mwabukusi.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili, Oktoba 11, 2026, jijini Dar es Salaam na Wakili Paul Kisabo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za THRDC Mikocheni. Wakili Kisabo amefafanua kuwa msingi wa shauri linaloendeshwa dhidi ya Mwabukusi ni shambulizi la kimkakati dhidi ya uongozi wa TLS na mawakili wote wanaopigania haki nchini."Shauri lililopo linadhahiri ya kikatiba na linalenga kumvua uwakili Rais Mwabukusi.
Sisi kama mawakili waliotayari kuitetea taaluma yetu tayari tumeshafungua kesi ya kikatiba kupinga hilo. Huu ni wajibu wetu na tumeshachukua hatua kadhaa kumlinda Rais wetu," amebainisha Kisabo.
Mbali na hayo, Kisabo amesisitiza kuwa shambulizi lolote linaloelekezwa kwa Rais wa TLS linachukuliwa kama shambulizi kwa mawakili wote nchini, hivyo hawatasita kutumia vyombo vya sheria kukabiliana nalo
Ok.View attachment 3688922

political science in actionsMtashinda maana nina uhakika by 100% judges will not allow this Shit!
Samuya ashindweee
Mawakili wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wametangaza vita vya kisheria kupinga jaribio lolote linalofanyika kumwondoa na kumvua uwakili Rais wao, Wakili Boniface Mwabukusi.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili, Oktoba 11, 2026, jijini Dar es Salaam na Wakili Paul Kisabo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za THRDC Mikocheni. Wakili Kisabo amefafanua kuwa msingi wa shauri linaloendeshwa dhidi ya Mwabukusi ni shambulizi la kimkakati dhidi ya uongozi wa TLS na mawakili wote wanaopigania haki nchini."Shauri lililopo linadhahiri ya kikatiba na linalenga kumvua uwakili Rais Mwabukusi.
Sisi kama mawakili waliotayari kuitetea taaluma yetu tayari tumeshafungua kesi ya kikatiba kupinga hilo. Huu ni wajibu wetu na tumeshachukua hatua kadhaa kumlinda Rais wetu," amebainisha Kisabo.
Mbali na hayo, Kisabo amesisitiza kuwa shambulizi lolote linaloelekezwa kwa Rais wa TLS linachukuliwa kama shambulizi kwa mawakili wote nchini, hivyo hawatasita kutumia vyombo vya sheria kukabiliana nalo
Kwani kakosea wapi? Y Fatma karume tena

Bila shaka pia Fatma Karume alimchukia Magufuli kwa sababu binafsi kitu ambacho siyo kosa.Kwa mahakama hizi za simu moja sintoshangaa akivuliwa uwakili. Unapokuwa na mahakama isiyo na meno, tegemea hukumu zinazofuata utashi wa viongozi wa kisiasa. Mfano wa karibuni ni dhidi ya Fatma Karume alipokuwa anachukiwa na Magufuli.
Yaani nikiona wapumbavu km hao namkumbuka Magufuli, hiyo TLS hiyo inaweza kufutwa na msifanye lolote. Kwamba huyo mpumbavu wenu afanye upumbavu aachwe? Hv huo ubabe wa kutoheshimu mamlaka mmeupata wapi? Hivyo visheria vyenu mlivyokariri ndiyo inawapa kiburi? Ktk fani haina faida hp duniani ni sheria haina mchango ktk maendeleo ya binadamu zaidi ya kutengeneza migogoro ya kipuuzi kila wakati ili muishi. Atafutwa uwakili na hakuna kima atafanya lolote
Mawakili wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wametangaza vita vya kisheria kupinga jaribio lolote linalofanyika kumwondoa na kumvua uwakili Rais wao, Wakili Boniface Mwabukusi.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili, Oktoba 11, 2026, jijini Dar es Salaam na Wakili Paul Kisabo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za THRDC Mikocheni. Wakili Kisabo amefafanua kuwa msingi wa shauri linaloendeshwa dhidi ya Mwabukusi ni shambulizi la kimkakati dhidi ya uongozi wa TLS na mawakili wote wanaopigania haki nchini."Shauri lililopo linadhahiri ya kikatiba na linalenga kumvua uwakili Rais Mwabukusi.
Sisi kama mawakili waliotayari kuitetea taaluma yetu tayari tumeshafungua kesi ya kikatiba kupinga hilo. Huu ni wajibu wetu na tumeshachukua hatua kadhaa kumlinda Rais wetu," amebainisha Kisabo.
Mbali na hayo, Kisabo amesisitiza kuwa shambulizi lolote linaloelekezwa kwa Rais wa TLS linachukuliwa kama shambulizi kwa mawakili wote nchini, hivyo hawatasita kutumia vyombo vya sheria kukabiliana nalo
Mawakili nao kuna Wana CCM na Wana Chadema. Kupingana ni Jambo la kawaida Sana duniani.Kwahiyo serikali hii haitaki kusikia neno haki? Halafu kwa nini mawakili hao hao baadhi watumike kuondoa wenzao? Hivi kazi ya uwakili ni kuisifia serikali au kulinda haki za jamii?
Hatari sanaUtawala huu ni wa ajabu sana, ni utawala wa laana. Utawala ambao upo kwaajili ya kugombana na kila kundi, kila taasisi, isipokuwa makundi ya waovu!! Ni dhihirisho kuwa tupo katika laana. Tulimkosea nini Muumba wetu hata akaamua kutuadhibu kupitia watawala katili, tena watokao mbali na nchi yetu asilia? Hali hii inawafanya Watanganyika kuwa watumwa ndani ya ardhi yao. Hali hii iliwahi kulikumba taifa la Israel kila lilipoenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Ni mpaka walipotubu na kugeuza mienendo yao, ndipo waliweza kuwa huru tena.
Mawakili nao kuna Wana CCM na Wana Chadema. Kupingana ni Jambo la kawaida Sana duniani.
Sawa na Tlaatlaah na Erythrocyte wote ni watanzania.
Hata kuiba kura kiongozi anakosa uhalali lakini mpaka Leo hajajiuzuru.Hiyo sifahamu,
but Mwabukusi amekosa uhalali na sifa za kisheria kuendelea kuiongoza TLS, ni vizuri akaachia ngazi kwa hiyari yake kwa heshima au akashupaza shingo na kubanduliwa kwa fedheha, kwasababu ni lazima abanduliwe tu
hakuna haja ya porojo gentleman,Hata kuiba kura kiongozi anakosa uhalali lakini mpaka Leo hajajiuzuru.
Kutokuwa halali siyo lazima kujiuzuru.
Mawakili walimchagua Rais wao.hakuna haja ya porojo gentleman,
wewe ukimtazama vizuri unaona mwabukusi anafaa kuendelea kua kiongozi wa TLS kweli?π
Rais kuvuta bangi ni suala la utovu wa kimaadili na anafaa kuondolewa kwenye nafasi yake.Mawakili walimchagua Rais wao.
Sisi wengine tuna Rais hata hatukumchagua.
Waliimchagua mwabukusi ndo wanaona kuwa anafaa, ila wewe unaona hafai kama yeye mwabukusi anavyoona Samia hafai.