Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Au kesi ya OJ Simpson. Waliobahatika kufuatilia na kuelewa watajua “michezo” ya wanasheria wa utetezi nguli (star defense attorneys) inakuwaje.

Hakuna kitu kama “vitu vidogo visivyokuwa na maana”. Hata ukiulizwa “ulipopiga mwayo ilikuwa asubuhi au jioni”, usipuuze.
 
Inamaaana na kwa sabaya hizi mahakama hazikuamua kwa hakiiii??

Facts ziko wazi. Huhitaji kuuliza swali bali kutoa uelewa wako kama Sabaya katendewa haki au la. Hata kwa Mbowe hivyo hivyo.
 
Kwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa

Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Hata huko kwa Sabaya wenye mamlaka wameamua kama hulijui hilo nikupe pole,ni wewe tu usiyejua kwamba mzalendo namba moja angekuwepo na hiyo kesi ya Sabaya isingekuwepo,akili mu kichwa.
 
Hata huko kwa Sabaya wenye mamlaka wameamua kama hulijui hilo nikupe pole,ni wewe tu usiyejua kwamba mzalendo namba moja angekuwepo na hiyo kesi ya Sabaya isingekuwepo,akili mu kichwa.
Na ulishangilia hukumu pasipo kuyajua kwamba Mbowe yuko ndani
 
Zumbukuku we shule ya kata mwalimu mmoja form four failure unawezaje kupambanua mambo ya sheria? Kweli hata rais ni Wale wale form four failure.
 
Na ulishangilia hukumu pasipo kuyajua kwamba Mbowe yuko ndani
Bora huyo Mbowe ambaye tunajua aliko, wengine hatujui waliko miaka sasa ila nilishangilia hukumu,hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…