Don Billionea
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 152
- 204
Sio dakitari lakini najua inategemeana na mtu na mutu...Hi Jf members..
Naomba kuuliza kuusu wavaa miwani wanaposhauriwa kubadirisha vioo baada ya muda furani.. Shida ni kwamba Lens za mawani ndio uwa zinaeExpire au tatizo la macho ndio linakuwa kubwa zaidi.. [emoji165]
Asante!Sio dakitari lakini najua inategemeana na mtu na mutu...
Kwa mfano unaweza kupima leo ukapewa lens ya -2.5 ila badaa ya mwaka ukapima ukapewa ya -3.00 ,kumaanisha tatizo limeongezeka
Ama
Ukapimwa ukapewa lens ya +1.5 na baadae ukapimwa tena ukapewa lens ya 1.00