Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Maandishi hayafutikj ilinipita wapi hii.... Naona ni ya kitambo sana.... Ngoja tujumuike sasa
 
Kwanini usimwambie Mungu akujaze Roho wake ili kwamba akusaidie ktk kutenda mema na mwisho wa siku ukaingia ktk uzima wa milele?
Mwisho wa kufuga Jini au Majini ni upi? Ni Jehanum.
Majini haya ndio yanakufànya uwe shoga au muuaji.
Kumtumikia shetani mshahara wake ni jela na baadae motoni
 
Acha ujinga

Hizi story zishapitwagwa na wakati yaan watu wanaumiza vichwa watengeneze ndege zisizo na ruban kwa ajili ya kuzielekeza mahali we .kirahis tu et uagze jini likakufnyie kitu unachotaka pumbavu
 
Kasome biblia yako vizuri kama unayo utanielewa.Otherwise ni hata nikikueleza hutanielewa.Soma post zangu kuna mambo nimehighlight sasa ziwezi kuwa narudi nyuma nishaelezea.

Biblia ipi, KJV , QJV ,RSV, NIV au maelfu ya biblia tofauti??
 
Acha ushirikina wewe JINI atakusaidia nini wewe au atakufundisha nini

JINI ni kiumbe tu kama wewe tena wewe upo juu zaidi ya JINI kwa maneno ya mwenyezi mungu kwa sababu sisi ndio makharifa wa dunia

Na mungu anavyo walani watu kama nyinyi mnaodhani kuwa kuna kitu JINI anaweza akakusaidia katika dunia hii mnakuaga na hali ngumu hata kula yenu shida

Hapo utaongea mwisho washirikina wenzako wakitaka uwasaidie waonane na hayo majini utawambia wakupe pesa kwa nini usiwambie hao majini wakachukue benki wakuletee

Na ndio maana mungu ametufanya tusiwaone maana washirikina kama wewe mngewasujudia wakati wao ni viumbe dhaifu kuliko binadamu
 
Na kama haukubali kuwa wao ni viumbe dhaifu angalia wanapo ishi wewe mwenyewe umeandika hapo

CHOONI
MAPANGONI
PORINI
VICHAKANI
MAJUMBA MABOVU

maeneo ambayo wewe binadamu huwezi kuishi alafu unataka wakusaidie wakati wao wenyewe hawawezi kujisaidia kwa nini wasijenge magorofa ya dhahabu wakaka kama kweli wao ni zaidi kuliko binadamu
 
Tangu 2015 lkn sjaona ni kwanamna gan una mwita huyo jini kwa njia ulio tu letea hapa
 
 
Huna akili ww
 
Kwanini usimwambie Mungu akujaze Roho wake ili kwamba akusaidie ktk kutenda mema na mwisho wa siku ukaingia ktk uzima wa milele?
Mwisho wa kufuga Jini au Majini ni upi? Ni Jehanum.
Kwan hao majini Nani kawaaumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…