Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa.
Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi.
Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya Manzese anakuja mgambo ajiitaye afisa mazingira, na kazi yake kwa kushirikiana watendaji wa mitaa kukusanya fedha za uchafuzi wa mazingira na hawatoi risiti.
Wakikuta alama za maji mlangoni kwako wanakupeleka ofisi za serikali ya mitaa na kwa kitisho Cha kulipishwa elfu hamsini wana kulazimisha "kuwapooza" kwa elfu ishirini hadi arubaini bila risiti.
Mhusika mkuu ni mlevi maarufu Sandton bar.
Sasa simu ya Takukuru 113 haifanyikazi , simu zao hazipokelewi na hata e mail yao haifanyi kazi
Msaada kwa anaye jua mawasiliano yao na tufanyaje kwani hii Ni tozo la Kila mwezi na hata asie husika hubambikiwa