Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu zote bongo.
Jana niliingia website ya STAMICO kutafuta contact info zao cha ajabu namba waliyoweka kwenye webstise yao, +255 26 239 2363, haipatikani. To make it even worse inasema haijalipiwa bill hivyo imekatwa. Yani STAMICO taasisi ya serikali inashindwa kulipia bill ya simu yao? Hadi hili mnataka Rais alisemee?
Nikaamua kuwatumia email na msg kwenye page zao za kwenye mitandao ya kijamii. Msg zimekuwa delivered and seen ila hawajibu. Hii nchi ni nani kawaroga? Raisi anapambana kufungua nchi ila hizi ofisi ni jipu.
Solution: Rais na wizara husika outsource customer service ya ofisi zote za umma, haya malalamiko yanatolewa kila siku ila miwatu huko ofisini haijali. Wapeni vijana kazi, kazi yao iwe ni kupokea simu na kujibu emails za watu. Mtu mmoja akipewa elimu ya kutosha juu ya kampuni fulani na utendaji wao anaweza hudumia hata makampuni 10 tena from home akipewa vitendea kazi tu. India hata hapo Kenya kuna call center zinapokea simu toka USA kujibu maswali ya wateja 24/7. Nini kinawashinda nyie kufanya hivi? Sio lazima calls ziende India hii kazi inaweza kufanywa na vijana wa kitanzania mkiwapa nafasi maana nyie ni dhahiri imewashinda.