KERO Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
January Makamba na Maharage Chande watuambie walichofanya Tanesco, So far Tanesco wanajitahidi kwa 80%

Kwingine kote takataka.

Watoe code kwa haya mashirikia mengine they ought to copy a thing or two maana yameoza.
 
Customer care ni tatizo kubwa sana Tanzania!
us
 
Ofisi nyingi za serikali zinazingua asee, mi leo kuna chuo nilikuwa na apply mambo yakawa hivo hivo, ile namba nilikuwa naambiwa bili haijalipiwa afu ni chuo kikubwa tu!! Aysee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…