Mkuu naimani utapata Mwongozo.Wakuu habari
Mods naomba msiutoe huu uzi hapa ili nipate msada haraka.
Ninaomba mwenye mawasiliano na Dr kuboja aliyekuwa anatibu muhimbili na part time agakhan na tmj.
Pia naomba kujua kama bado week end anapatikana agakhan au vipi.
Ni dharura kubwa.
Check out your PMWakuu habari