Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Habari zenu wakuu?
Kwa heshima na taadhima ninaomba mnisaidie namna ninaweza kuwasiliana na makao makuu ya Mfuko wa Mafao ya Kistaafu wa Umma -PSSSF
Nimejaribu kuangalia contacts zao online sijapata cha kueleweka zaidi ya ofisi za mikoa tu.
Kuna mzee wangu amekwama kupata mafao yake kwa mda mrefu tangu astaafu ameomba nimsaidie ili ajaribu kufwatilia nini kinamkwamisha maana ni mda mrefu sasa ofisi ya mkoa inampatia majibu yasiyoeleweka.