Wadau naombeni mawasiliano email au simu ya kampuni zinazochimba visima kwa bei inayoweza kufikiwa na mtz wa kawaida bajeti 2.5m to 3m please nisaidieni ndugu zanguni nipo DSM
Nawasilisha
0655 400023 yupo ilala kabla ya amana zinapokatia kona hiece za kariakoo uwe kama unaenda amana mkono wa kulia duka la 2 bei poa sana inategemea na urefu wa kisima