Hii ndio voice mail yako?Hi, you have reached Nyani Ngabu. I am sorry I am not available to answer your call right now, but if you leave me your name, number, and a brief message I will get back to you as soon as possible. Thank you.
Ha ha mie sipendi unapompigia mtu anakupatia umsalimie yule mtu yuko nae nachukia mbaya
Hii ndio voice mail yako?
Hi, you have reached Nyani Ngabu. I am sorry I am not available to answer your call right now, but if you leave me your name, number, and a brief message I will get back to you as soon as possible. Thank you.
Raha kujua mapema ni nani ili hata kama hujisikii kuongea unamkwepa!!Sio unampigia mdeni wako n mbwembwe kibao...lolz!mie sipendi watu wanaonipigia simu na kushindwa kuacha voicemail ya kujitambulisha wakati wanajua kwamba siifahamu namba waliotumia au wao wenyewe siwajui.
Raha kujua mapema ni nani ili hata kama hujisikii kuongea unamkwepa!!Sio unampigia mdeni wako n mbwembwe kibao...lolz!
Lol inaboa sana.alafu unakuta mtu ana piga mara kwa mara mpaka unakuwa na wasi wasi kumbe wapi; kama sio mdeni wako kama ulivyosema basi mtu anataka kukupiga mzinga ana anajua kwamba ushamzoea yeye mtu wa mizinga na akitumia namba yake ya kawaida utaichunia lol.
Hizo zote tisa, KUMI kuna mdada mmoja ambaye atakuomba aangalie handset yako, then huna hili wala lile anatumia simu yako kujibeep, anaipata namba yako..kinachobaki ni usumbufu.."We nanihiino, UKO WAPI saa hizi...nina hamu na Castle-Light leo"...my hairs!!