F fredrick45 Member Joined Dec 22, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Jan 22, 2014 #1 Naanz kwa kuwasalimu. Mimi nimepa wazo la kufungua biashara ya kuuza chips, je biashara hii inaendaj na mtaji wake ni shilling ngapi kwa kuanzia. Nawasilisha.
Naanz kwa kuwasalimu. Mimi nimepa wazo la kufungua biashara ya kuuza chips, je biashara hii inaendaj na mtaji wake ni shilling ngapi kwa kuanzia. Nawasilisha.