Mawatu ya hivi yana kera

We dare to speak via posting thread freely so enjoy that opportunity.
 
Kuwa mvumilivu tu sometimes wanakua ni wadhamini. Ila acha kupost PUMBA. Na ukubali kuambiwa ukweli

Cc: Pumba tuu
 
Ungeweka na tupicha basi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
(kauli zao)
 
Binadamu mwenye busara ni yule anayekubali na kuzikabili changamoto kwa njia ya amani...

Hatuwezi fanana akili wote au mitazamo... Wavumilie...


Cc: mahondaw
 
Daah pole mkuu...jitahidi kupost unga msafi sio pumba kama unaona wanakwambia ni pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…