Bashe na Mwigulu hawafai kabisa kuendelea kuwa Mawaziri. Wanahusishwa na kashfa chafu na ufisadi.1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili kuendelea.
8. Waziri wa Mipango anastahili kuendela.
Walio baki wanapaswa kuachwa kabisaaa.
Waziri wa fedha hapana1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili kuendelea.
8. Waziri wa Mipango anastahili kuendela.
Walio baki wanapaswa kuachwa kabisaaa.
Msijipangie safu ya ulaji watanzania wapo macho,wameshatoka usingizini wale wahuni ni muda wakurudi kujificha mapangoni.1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili kuendelea.
8. Waziri wa Mipango anastahili kuendela.
Walio baki wanapaswa kuachwa kabisaaa.
Kuna kashfa kubwa kuliko kuua wananchi wasio na silaha?!!Bashe na Mwigulu hawafai kabisa kuendelea kuwa Mawaziri. Wanahusishwa na kashfa chafu na ufisadi.
Umemsikia Mpina akiongelea kampuni ya ITEL, iliyopewa tenda ya kuagiza sukari maradufu ya kiasi kilichohitajika!