Mawaziri Hawa watumbiliwe

Mawaziri Hawa watumbiliwe

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Mpaka Sasa mawaziri walioshindwa kuendana na mama Samia Suluhu na wanapaswa kukaa pembeni ni;

1.Mwigulu Nchemba-huyu Tangu
mwanzo ofisi ilimshinda,ni waziri
anayeongoza kwa madudu ktk serikali hii.

2.Faustine Ndungulile-Alipitisha Makato mapya ya huduma ya simu,mtandao imekua mibovu haijawahi tokea Yani mpaka maeneo ya mjini huduma za mtandao hazieleweki,ameungana na Mwigulu ktk hizo Tozo za miamala ya simu,anatunga masheria mabovu ya watumiaji wa mtandao mpaka page za umbea anataka kudili nazo.Kagomewa na kampuni za mitandao kurudisha bei za Zamani naye katulia licha ya kuamuru zirudi kama Zamani.Hafai

3.Prof.Kitila mkumbo-Wizara take kubwa Zaid ya uwezo wake,mpaka Sasa hakuna hata sera ya maana ya viwanda.Hakuna muwekezaji ambaye Katia nia,hakuna Biashara zilizo improve in short wizara imemuelemea.

4.Ummy Mwalimu-Wizara kubwa kuliko take,anatoa matamko kulingana na matukio.Si mfatiliaji(Ref sakata la wanafunzi kuchaguliwa comb wasizosomea akabisha Bila ushahidi wakati watu wamepangiwa ECA na hawajawahi kusoma masomo ya biashara),Ni kama mikoa na wilaya inajiendesha yenyewe inshort ni mvivu na hazunguki wakati ni wizara inayohitaji kuwa field zaidi ya ofisini.
Ameanza mtindo wa kupitisha bajeti Bila kuzingatia matakwa kisheria(ref kutaka kuweka Fire hydrant masokoni na vituo vya mabus Bila kufata sheria).

4.Mama Mulamula-angeendelea kua mtendaji Zaid .

5.
6.
7.
 
2.Faustine Ndungulile-Alipitisha Makato mapya ya huduma ya simu,mtandao imekua mbovu Haijawahi tokea.Hata maeneo ya mjini.
Huduma za mtandao hazieleweki,ameungana na Mwigulu ktk hizo Tozo za miamala ya simu,anabunj masheria mabovu ya watumiaji wa mtandao mpaka page za umbea anataka kudili nazo.Kagomewa na mitandao kurudisha bei za Zamani naye katulia.

3.Prof.Kitila mkumbo-Wizara take kubwa Zaid ya uwezo wake,mpaka Sasa hakuna hata sera ya maana ya viwanda.Hakuna muwekezaji ambaye Katia nia,hakuna Biashara zilizo improve in short wizara imemuelemea.

4.Ummy Mwalimu-Wizara kubwa kuliko take,anatoa matamko kulingana na matukio.Si mfatiliaji(Ref sakata la wanafunzi kuchaguliwa comb wasizosomea akabisha Bila ushahidi wakati watu wamepangiwa ECA na hawajawahi kusoma masomo ya biashara),Ni kama mikoa na wilaya inajiendesha yenyewe inshort ni mvivu na hazunguki wakati ni wizara inayohitaji kuwa field zaidi ya ofisini.
Ameanza mtindo wa kupitisha bajeti Bila kuzingatia matakwa kisheria(ref kutaka kuweka Fire hydrant masokoni na vituo vya mabus Bila kufata sheria).

4.Mama Mulamula-angeendelea kua mtendaji Zaid .

5.Afya
6.n/w Mali asili
7.Kabudi
8.n/ardhi apewe wizara kamili
9.David silinde futa kabisa
10.Maswaumu to a
11.Kigahe
12.Bashe aende utalii ni mbunifu
 
Uyo No 2 ata yeye ajui anacho kifanya maskini
 
Naona unatoa tathmini bila basis yoyote ya TOR zao
 
Mpaka Sasa mawaziri walioshindwa kuendana na mama Samia Suluhu na wanapaswa kukaa pembeni ni;

1.Mwigulu Nchemba-huyu Tangu
mwanzo ofisi ilimshinda,ni waziri
anayeongoza kwa madudu ktk serikali hii.

2.Faustine Ndungulile-Alipitisha Makato mapya ya huduma ya simu,mtandao imekua mibovu haijawahi tokea Yani mpaka maeneo ya mjini huduma za mtandao hazieleweki,ameungana na Mwigulu ktk hizo Tozo za miamala ya simu,anatunga masheria mabovu ya watumiaji wa mtandao mpaka page za umbea anataka kudili nazo.Kagomewa na kampuni za mitandao kurudisha bei za Zamani naye katulia licha ya kuamuru zirudi kama Zamani.Hafai

3.Prof.Kitila mkumbo-Wizara take kubwa Zaid ya uwezo wake,mpaka Sasa hakuna hata sera ya maana ya viwanda.Hakuna muwekezaji ambaye Katia nia,hakuna Biashara zilizo improve in short wizara imemuelemea.

4.Ummy Mwalimu-Wizara kubwa kuliko take,anatoa matamko kulingana na matukio.Si mfatiliaji(Ref sakata la wanafunzi kuchaguliwa comb wasizosomea akabisha Bila ushahidi wakati watu wamepangiwa ECA na hawajawahi kusoma masomo ya biashara),Ni kama mikoa na wilaya inajiendesha yenyewe inshort ni mvivu na hazunguki wakati ni wizara inayohitaji kuwa field zaidi ya ofisini.
Ameanza mtindo wa kupitisha bajeti Bila kuzingatia matakwa kisheria(ref kutaka kuweka Fire hydrant masokoni na vituo vya mabus Bila kufata sheria).

4.Mama Mulamula-angeendelea kua mtendaji Zaid .

5.
6.
7.
Mambo ya serkali ya CCM nyie vidosho wa chadema inawahusu nini ,endelezeni wizi wa ruzuku

USSR
 
Mwigulu ataonewa bure. huyo ni msomaji wa bajeti tu. hii nchi sasa hivi inaongozwa kwa maelekezo kutoka unguja. Yaani kama vile magufuli alivyowekeza chato ndivyo sinavyotafutwa pesa za kuwekeza unguja.
 
Mkuu naunga hoja.Ummy ofsi imemuelemea sana.Anatoa matamko hafatilii utekelezaji wake na watu washamsoma.
 
Back
Top Bottom