Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #41
Peter Keneth, Kenya's Obama, thts what some people say.
When the coalition Govt was put in place in Kenya, I praised Africa for this great move! That, different ideologies can swiftly ignore and bury the past for the betterment of the nation, of the people. I was wrong!!
Kenya seemed to take a mentorship role of their Zimbabwean brothers. But if this coalition fails, I know it will fail... what should we expect from that of Zimbabwe?? What sort of message is Kenya intends to convey? Wht about the proposed, delayed and long overdue coalition between CUF and CCM in Zanzibar?
Ben,
I like your mtazamo on this one.
Tatizo na Martha Karua ni kwamba watu washajua kulikoni upande wake.
Unahabari huyu mama alijiuliza wadhifa wa Minister of Justice?...kisa na kisababu
ni kua Kibaki aliwateua majaji f'lani bila kutaarifu. Lakini kwa undani ukitizama
utaona kua alikua anamaindi sana kwa nini Kibaki hampi ubavu wa nguvu when
it came to succession matters na yeye alikua mstari wa mbele kutetea Uwizi wa
kura za '07 by Kibaki. Insteas Kibaki alikua anampa Uhuru Kenyatta all signals
kua the torch bearer wa PNU when Kibaki exists the scene.
Huyu mama alimletea Koffi Annan kidomo domo mpaka ikabidi Graca Machel,
mkewe Mandela, amkomalia na amwambie anyamaze maana kuna wanawake
zaidi ya yeye ambao wamekua frontline kupigania ukombozi wa nchi za Africa.
Kwa ufupi ana mahasira ya mkizi huyu mtu na ukabila mumo kwa mumo.
Kwa hivyo sioni Raila akitia timu naye.
Hio tetesi ya kina Peter Kenneth nimesikia kwa watu kadhaa maana jamaa ni
born tauni/mtoto wa mjini kistepu na hana ukabila. Kisha alikua anapiga soka
klabu moja ya zamani ilikua inaitwa Re-Union ambayo ilikua inasidikiwa kua
Gor Mahia ndogo. Kama unajua Gor Mahia ilikua klabu ta wajaluo. Kwa ufupi
watu wanamkubali kutoka kambi zote na Uhuru anachukia kweli hii kitu.
All in all time will tell.
Shukran.
Meanwhile I have a question for Smatta na Hellfire et al,
Where is Kalonzo Musyoka in all this? To me his silence is funny( no pun intended)
The man was a sycophant in the Moi days na by now angekua keshafoka moshi
kinomanoma.
Mr Vice-President will you please stand up.
Huyu jama ni moto wa kuotea mbali,sidhani kama watamuweza.
Sasa maslahi ya wananchi yawe ktk centre stage
eti ethinic tension? mambo ya ajabu kabisa haya,hawa wananchi watakaoingia mtaani kukatana mapanga huku pesa zilizoibiwa hazina kabila,waache tuu wakatane mapanga wamalizane wenyewe, watakuwa wamesaidia kupunguza idadi ya wapuuzi wanaofanya maisha ya wengine magumu kwa hizo siasa zao chafu zinazoangalia kabila....sometimes is a blessing kwa washenzi kama hawa kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
Thanks man,Mundu,
Coalitons na wezi will never work in Africa. Kibaki aliiba kura za '07 na kuapishwa
chini ya wingu la giza na nchi ikalipuka. Yaliofuata ni haya ya nipe nikupe
lakini tangia mwanzo ilikua wazi Kibaki kampa Raila mkia na kumwambie
eti 'pia mkia ni nyama'. Kwa sasa hii ishu ya kupiga vita ufisadi nd'o inafanya
watu wajue hali halisi. Jama bado ameshikilia sehemu nyeti za nchi na wezi wake
wanachuma mali ya uma. Akiambiwa awatendee haki raia wake, anajifanye
kutetea wahuni.
Ukienda Zimbabwe mambo ni hayo hayo na Nguli Mugabe kakataa kuwasikiliza
MDC japo inajulikana wazi kua alishindwa kura.
Kwa ufupi tumeanzisha a very bad precedent na usishangae pia ikitokea Tanzania
na jamaa akishindwa aseme siondoki mpaka kuwepo serikali ya mseto. That is
what Annan na wenziwe did in Kenya's scenario na wapo maraisi wengi wahuni
wataiga hii kitu.
Kaazi kweli kweli.
eti ethinic tension? mambo ya ajabu kabisa haya,hawa wananchi watakaoingia mtaani kukatana mapanga huku pesa zilizoibiwa hazina kabila,waache tuu wakatane mapanga wamalizane wenyewe, watakuwa wamesaidia kupunguza idadi ya wapuuzi wanaofanya maisha ya wengine magumu kwa hizo siasa zao chafu zinazoangalia kabila....sometimes is a blessing kwa washenzi kama hawa kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
I wish we had at least one Raila in TZ or even a .'half, of him!!