jee wakulu walikutonya kuhusu Prof Mwandosya kuwa PM?
data zinasemaje jee kweli kuna BEEF baina ya MUUNGWANA na Prof Mwandosya?...........tafadhali kaka nataka DATAS na sio uvumi kama wa watu fulani hapa JF.
Heshima mbele mkuu wangu,
Hii ishu ya PM inaonekana kuwa ngumu sana kueleweka, it cost a lot of hela za walipa kodi kumuondoa kiongozi kutoka hiyo nafasi, Sumaye, alipokuwa madarakani ilipotokea ishu ya benki ya NMB, alikuwa tayari kujiuzulu baada ya kumdanganya Mkapa, mpaka akaishia kumfukuza kazi Kaduma, toka kuwa mwenyekiti wa bodi ya NMB, lakini haikuwezekana, maana by now tungekuwa na Mawaziri Wakuu wastaafu toka awamu moja ya tatu, gharama za kuwatunza kwa walipa kodi ni too high kwa rais kukurupuka na kumbadili tu,
ndio maana huenda in the near future ya our politics tutakuwa na tabia ya kuishi na ma-PM wasiofaaa kwa vipindi viwili, kuliogopa hilo, Muungwana, aliambiwa sana alipochaguliwa kuwa asimpe huyo mkuu Luwassa, akagoma kabisaa sasa inabidi tulinywe,
Kuhusu Mwandosya, ninaomba kusema hivi kuwa kama kweli Muungwana, ana beef naye by now asingekuwemo kwenye cabinet, na pia asingemshinda Tom, kule Mbeya, hivi karibuni kuna wajumbe wa cc waliotaka kulileta hili kwenye kikao, Muungwana, alikuja juu kama mbogo kuwa hataki kugombanishwa na Kigoda, na Mwandosya, ukweli ni kwamba hakuna beef wala hakuna u-PM, ni viongozi wanaoheshimiana sana, it is about time sasa wananchi tukatafuta ishu za muhimu kwa taifa letu, badala ya kulilia beef ambazo hazipo na pia haziwezi kutusaidia lolote kwa taifa, mkuu wangu usiwasikilize hakuna beef kati ya hao wakuu!