Mawaziri wa awamu ya 5 na mitindo ya mavazi - Kangi Lugola na suti ya michezo Kigwangala na combat!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Leo nimemuona NW wa mazingira Lugola akifanya ukaguzi wa mazingira huku akiwa kavalia suti ya michezo. Juzikati napo Dr Kigwangala akiwa katika ukaguzi wa mbuga alikuwa akipigilia full combat na kifimbo. Duh haya manjonjo hatukuyaona katika awamu zilizopita hakika hawa ni mfano mzuri wa Hapa Kazi tuSource ITV habari!
 
Jamani kuweni na utimamu wa akili basi, unafikiria mavazi kuliko kazi zao,

Kigwangala ni sahihi kuvaa magwanda au nguo nzito kulingana na nature ya maeneo yake ya kazi, anaingia mbugani kwenye miiba, matope n.k lazima avae kombati.
 
Leo nimemuona NW wa mazingira Lugola akifanya ukaguzi wa mazingira huku akiwa kavalia suti ya michezo. Juzikati napo Dr Kigwangala akiwa katika ukaguzi wa mbuga alikuwa akipigilia full combat na kifimbo. Duh haya manjonjo hatukuyaona katika awamu zilizopita hakika hawa ni mfano mzuri wa Hapa Kazi tuSource ITV habari!
Ndo nani hawa
 
Mwenye hila hata ukiogelea kwenye bwawa atakwambia unamtimulia vumbi kama mtoa mada
 
Back
Top Bottom