johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndo nani hawaLeo nimemuona NW wa mazingira Lugola akifanya ukaguzi wa mazingira huku akiwa kavalia suti ya michezo. Juzikati napo Dr Kigwangala akiwa katika ukaguzi wa mbuga alikuwa akipigilia full combat na kifimbo. Duh haya manjonjo hatukuyaona katika awamu zilizopita hakika hawa ni mfano mzuri wa Hapa Kazi tuSource ITV habari!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kogangwala ndio nan mkuu?
HahahaMtupiege ata vipicha tuwajue