Mawaziri wa Kenya kujitolea Mishahara yao ya Mwezi 1 kwa waathiriwa wa Njaa

Mawaziri wa Kenya kujitolea Mishahara yao ya Mwezi 1 kwa waathiriwa wa Njaa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imesema, Baraza la Mawaziri limekubali kuwa fedha zao za malipo ya mwezi mmoja, zitachangia katika hatua za serikali kusaidia Wakenya wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame

Pia ilibainisha kutokubaliana na bei za juu za mahindi hivyo kuahidi msaada wa soko kwa wakulima ambao walikuwa wakivuna mazao yao na msaada wa Mamilioni ya Tani za mahindi ifikapo Februari 2023

Aidha, Wiki iliyopita, Serikali ilitangaza harambee ya kufadhili waathiriwa wa ukame, ikiwa ni pamoja na kukusanya michango kupitia njia ya simu

...................

Kenya ministers to forgo a month's pay in drought aid

A girl tries to get clean water during the food and water shortages which also affects the areas where people live in Nairobi, Kenya on November 23, 2022

Kenyan ministers will forgo their salaries for one month in solidarity with people who have been affected by the ongoing drought in parts of the country.

A statement from the presidency said the cabinet agreed that the funds collected from all members of the cabinet would contribute to the state interventions to support the affected Kenyans.

It also noted the "unacceptably high" prices of the staple food maize, and pledged market support for farmers who were harvesting their crop.

A minister had earlier indicated that the country would be importing millions of tonnes of maize, but the cabinet noted that this would now be done in February in order to give the farmers a priority to sell their produce to the market.

Millions of Kenyans are currently facing hunger amid the ongoing drought and are in dire need of food aid.

Last week, the government announced a funds drive for Kenyans to donate to victims of the drought including through a mobile money platform.

Chanzo: BBC
 
Nafuu hawa mawaziri wameliona hilo na kuliamini, kwa ukweli ukame ulioikumba baadhi ya maeneo Nchini humo ni mkubwa mno😢
 
A slap in the face. Huo mshahara wao wa mwezi mmoja unabadilisha nini?

Hesabu wako mawaziri wangapi? Hapo ongeza na president na dp wake na kila waziri anapata karibu milioni 120 kwa mwezi jumlisha tuone inasaidia au haisaidii?
 
Kina Mwigulu kila kukicha wanawaza jinsi gani watafanya kila mwananchi awe na njaa zaidi.
Kuna la kujifunza hapa.
 
Hesabu wako mawaziri wangapi? Hapo ongeza na president na dp wake na kila waziri anapata karibu milioni 120 kwa mwezi jumlisha tuone inasaidia au haisaidii?
Halafu huyu hajui mishahara ya ministers wa Kenya hata Japan hawaoni ndani. Agugo aone Ni Bei gani
 
Back
Top Bottom