M Morani75 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2007 Posts 613 Reaction score 19 Jan 28, 2008 #21 Heshima mbele, sasa naona baada ya kukatiwa maji waheshimiwa waliamua kujiunganishia maji kinyemela.... Sasa jamani kama viongozi ni kioo cha jamii hawa mawaziri wetu ni kioo gani kwa jamii yetu? Hii ni Guardian ya leo: http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2008/01/28/107199.html
Heshima mbele, sasa naona baada ya kukatiwa maji waheshimiwa waliamua kujiunganishia maji kinyemela.... Sasa jamani kama viongozi ni kioo cha jamii hawa mawaziri wetu ni kioo gani kwa jamii yetu? Hii ni Guardian ya leo: http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2008/01/28/107199.html