hauoni fahari mumeo mbowe kukaa muda mrefu madarakani ?Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
CCM yenyewe ipo tangu 1954Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
vipi kuhusu UDP? Gekuli hajamboooooTokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
Wote hao ni wale wale tu.vipi kuhusu UDP? Gekuli hajambooooo
lukuvi ni mbunge toka lini hadi liniWote hao ni wale wale tu.
Tokea mwaka huo 1977 mpaka mwaka huu mwenyekiti wa CCM hajawahi kushindanishwa na mgombea mwingine.Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
12.NapeLeo tujikumbushe Waheshimiwa Mawaziri waliowahi kutumbuliwa kwa fedheha ikiwemo tuhuma za (rushwa, udhalilishaji, ulevi, kutumia madaraka vibaya).
1. Laigwanani Mkuu (tuhuma za Rushwa RICHMOND) - mzee wa kuzungusha mikono hewani, ha ha ha
2. Charles Kitwanga, (ulevi)
3. Prof Muongo,
4. Kanghe Lugola,
5. Pauline Gekul (udhalilishaji)
6. Simon Mbilinyi,
7. Id Simba,
8. Msabaa,
9. Kalamaji,
10. Joka la Makengeza, 'vijisenti',
11. Profesa wa pesa ya mboga,
Watanzania wapewe tuzo ya kubuzwa na CCCCCCCMMMCCM yenyewe ipo tangu 1954
Hakika yametimiaMwigulu Njemba
Nape Nnauye
January Makamba
Sospital
Kwanini usiishangae ccm kung'ang'ania kwa nguvu ya dola madarakani tangu tupate uhuru hadi leo???Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
Kauli yako ina maanisha kwamba Mbowe ndio Chadema na Chadema ndio Mbowe.Kwanini usiishangae ccm kung'ang'ania kwa nguvu ya dola madarakani tangu tupate uhuru hadi leo???