Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Mbowe ndio mmilikiKauli yako ina maanisha kwamba Mbowe ndio Chadema na Chadema ndio Mbowe.
Ccm tangu 1961 rais ndo mwenyekiti wa Chama kofia 2Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.
Rekodi ya gunia.
Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
Hawa WB na IMF hawawaoni Museveni, Kagame nk ila Nyerere tu?Ccm ahijawai kuchagua mwenyekiti nyerere mpaka alipo ondoka madalakani kwa kubanwa na WB na IMF hakuna demoklasia ndani ya ccm kweli nyani ahoni kundule