johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
punguza udikteta bossJo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya
Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapapunguza udikteta boss
😂😂🤣 Kwaresma njema!Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya
😂 David wa Tunduma yumo?!Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapa
Ni jambo jema
Hiyo ndio mada asilia.. Baada ya kumsema ndio kaongezea maneno
Huku ni kupwaya Jo siku hizi haumanishi katika uandishi wakoNi jambo jema
Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa
Kazi Iendelee
teuziView attachment 2530465Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya
Kila jambo na wakati wakeNi jambo jema
Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa
Kazi Iendelee
Unataka awekwe Mbowe?Bila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure.
Chadema banaBila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure.
Sio mbaya pia kuwa na Serikali ya mseto.Unataka awekwe Mbowe?
Subiri Uchaguzi mdogo
Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza.Ni jambo jema
Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa
Kazi Iendelee
Kama nchi ya ZanzibarSio mbaya pia kuwa na Serikali ya mseto.
Unawaza Tumbo tu!Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza.
Nazingumzia tumbo lenye matatizo, nafuu ni kuharisha.Unawaza Tumbo tu!
Mkeka umesahaulisha mkutano