Mawaziri wenye tamaa ya urais ni kikwazo kwa Rais Samia


Hv wewe upewe elimu, uelimike then ukose kitu cha kufanya!! Hiyo elimu haitakuwa elimu!!

Hiv kuna taifa lililoendelea bila kuwa na elimu kweli? Elimu ndo ufunguo wa kila kitu!!

Me nafikiri kinachotakiwa ni kufanya reformation ya elimu inayotolewa kuanzia primary hadi chuo iweze kumsadia anayemaliza chuo kuweza kukabiliana na mazingira atakayokuwepo pindi atakapomaliza shule yake kwa level yake.
 
Kwa mbaali nakuona mguu wa chemba hapo!!🙄🙄
 
Raila Odinga akishinda Uraisi kenya nitafurahi Binafsi!!!Kwa hapa kwetu!nadhani Mama aendelee hapo 2025!!asitokee wa kumkwamisha!!!
 
JANUARI MAKAMBA NA MWIGULU NCHEMBA!!!LUKUVI NAMKUBALI ANATUFAA KAMA MAMA HATAGOMBEA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…