Mawazo juu ya biashara hii

Mawazo juu ya biashara hii

GODWN

Member
Joined
Nov 2, 2016
Posts
34
Reaction score
19
IMG_20190802_195621.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-08-03-16-37-45.jpeg
    Screenshot_2019-08-03-16-37-45.jpeg
    38.6 KB · Views: 16
N kwel mkuu ila hii post imejipost wakat hata cjainyambulisha.. Kuifta nmeshndwa hata cjui threads za jf znaftwaje lbd unisaidie t kwahlo mkuu
Je wewe una mawazo gani kwanza kuhusu biashara hii ya mitumba?

Je unahitaji usaidiwe katika nini hasa?

Funguka zaidi wadau watakusaidia
 
jinsi za kiume wanauza laki sita kwa baro, zinakaa mia, ina maana wamekuuzia jinsi elfu sita kwa moja, so wewe unauza kuanzia buku kumi na kuendeleaaaa. eneo wanapouza sifahamu duka ila nafahamu eneo ni pale veta chang'ombe Luna eneo LA duka la jumla,na nawaona wamachinga wanaendaga hapo au kama vippp nenda kamchek mmachinga mmoja hapo ilala uchonge naye vizuri atakupa ramaniiii
 
Ok mkuu
 
Back
Top Bottom