Je wewe una mawazo gani kwanza kuhusu biashara hii ya mitumba?
Je wewe una mawazo gani kwanza kuhusu biashara hii ya mitumba?
Je unahitaji usaidiwe katika nini hasa?
Funguka zaidi wadau watakusaidia
Ok mkuujinsi za kiume wanauza laki sita kwa baro, zinakaa mia, ina maana wamekuuzia jinsi elfu sita kwa moja, so wewe unauza kuanzia buku kumi na kuendeleaaaa. eneo wanapouza sifahamu duka ila nafahamu eneo ni pale veta chang'ombe Luna eneo LA duka la jumla,na nawaona wamachinga wanaendaga hapo au kama vippp nenda kamchek mmachinga mmoja hapo ilala uchonge naye vizuri atakupa ramaniiii