Mawazo (Picha)

mtoto anawaza maisha magumu na njaa sijui tutafika
 


kutoka facebook huko:

inauma mtoto mdogo kaja duniani juzi tu, tayari kajua maisha ni magumu mno, labda anawaza sina, viatu vya shule, uniform, chakula shida, maji kuyachota, hata anaonekana nguo, mwili na jasho jingi, muda si mrefu atakata tamaa, inaumaaaaa
 
Anasubiria jamaa apite amgawie peremende/pipi!
 
Na hilo lindoo la maji sijui atalibaba yeye Mungu wangu. Duu ama kweli dunia hii bora waliokufa, wamejipumzikia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…