FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
hehehheee,kumbe ujumbe wa tiba jana ulifika mahali sahihi ,leo mamaa umeamua kujikita kwenye siasa, hehehe.
kujibu swali lako,wale mafisadi wenyewe unawafikia vizuri ila wana mioyo migumu kama wana wa Israel.Hawataki kubadilika.Halafu hata humu JF wengine ni member.
Na hao victims wa ufisadi yaani wadanganyika hauwafikii,kwa kuwa wapiga kura wengi wapo vijijini ,halafu hawana kompyuta kama mimi na wewe.
ndio maana kwenye baadhi ya maofisi ya serikali wameiblock jamii forums website,
ili kuziba masikio.
ujumbe unawafikia ile kisawasawa

ZD unajua kuna vitu huwa vinatuumiza sana vichwa lakini mwisho wa siku unajikuta umegonga ukuta
Natamani siku moja wanipe nafasi niingie pale mjengoni nikawe Pilato nianze kutoa hukumu za haki grigriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii