Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
si useme tu unaipigia upatu SIDO.
Anyway acha nikusapoti mkuu, other ajira ni kama ifuatavyo;
1. Kumpokea Eddo airport ya kisongo na kuandamana naye hadi A. town (10000 kwa trip)
2. Kupost thread za kuiponda CDM kwenye mitandao ya jamii (5000 kwa thread ilokomentiwa na at least 20 people)
3. Kurekodi chochote unachozungumza na kiongozi wa upinzani (50000 per clip)
Ni kweli...lakini unaposikia idea nzuri na kwa mtazamo wako unaona unaweza kuifanya we ifanye ila ifanye katika ubunfu zaidi ya orgnal idea cz somtyms kuna wa2 wanaothnk of good ideas za biashara lakin ni wazto au sio doers..lakin kuna wale wanaochukua ideas za wa2 wengne na kuzboresha na kutoa ktu kizuri.....sometimes with a little bt of creativity that old or someone else idea will give you millions,tusiogope jaman kujaribu.Si dhani kama tuna jua Mahara ya Aidea za Kupewa, nazani tunajua Faida tu ila mahara hatujui, The best Aidea ni ile unayo develop wewe mwenyewe,
Wazo zuri...Nunua camera ya picha 450,000 then sajili blog then ingia mtaani na jichanganye kwenye matukio, piga picha na weka kwenye blog yako. Sasa kwasababu blogs za aina hii ziko nyingi bongo, wewe fikiria ni content za aina gani utaweza ili kujitofautisha na hao wengine.
asanteni nimependa hzo za mitumba ,pia asante kwa wazo la sido kweli nashida na mashine ya kusaga nyama hasa za kutengenezea sambusa ntawacheki labda ntapata
Si dhani kama tuna jua Mahara ya Aidea za Kupewa, nazani tunajua Faida tu ila mahara hatujui, The best Aidea ni ile unayo develop wewe mwenyewe,