MAWAZO YA BIASHARA

MAWAZO YA BIASHARA

cutelisa

Member
Joined
Jun 3, 2017
Posts
32
Reaction score
58
Naitwa Lisa ni mwanafunzi. Nina mawazo matatu ya biashara.

1. Kuuza huduma ya kusafishia masinki ya chooni yenye uchafu sugu pamoja na tiles.
Hasahasa kwenye bars, gesti, mashuleni na nyumba za kupanga au nyumba za kota.
Changamoto inakuja nashindwa kupata tenda kubwa kwasababu Sina kampuni Kama maofisi makubwa yanafanya kazi na kampuni sio Mtu binafsi.

2.kuuza taulo (pads) za kike za kufua bado sijajaribu kuifanya na mtaji wake ni Kama 100000.

3. Kuuza mafuta ya mnyonyo. Pia mtaji wake ni Kama laki

Naombeni ushauri katika mawazo hayo matatu ni lipi ni bora nikomae nalo.
 
Anza na Pads halafu mafuta hizi mbili zikiingiza capital kubwa ndio nenda na hio namba moja. Hizi mbili za mwanzo unaanza na mtaji mdogo lakini utakufanya uijue biashara vizuri. Bila kusahau wakati unaanza hizo ndogo jijenge kwa walengwa kwa hii kubwa namba 1. Kila la kheri

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ni ipi kati ya hizo ulishawah fanya?
 
Nitamsupport kwa hiki akianza nitamconnect na shule nazoweza
hii ya kusafisha vyoo nafanya, changamoto Nakosa tenda/soko. Ni chache mno ninazopata. Ukiniconnect itanisaidia Sana
 
Anza na Pads halafu mafuta hizi mbili zikiingiza capital kubwa ndio nenda na hio namba moja. Hizi mbili za mwanzo unaanza na mtaji mdogo lakini utakufanya uijue biashara vizuri. Bila kusahau wakati unaanza hizo ndogo jijenge kwa walengwa kwa hii kubwa namba 1. Kila la kheri

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ahsante Sana
 
Ya kusafisha masink
Kama unahisi kwa asilimia fulani umefanikiwa nashauri ufocus hapohapo kwasasa, ila kama unahisi hujafanikiwa na huna namna ambayo utafanya kwa mafanikio achana nayo kauze taulo.
 
hii ya kusafisha vyoo nafanya, changamoto Nakosa tenda/soko. Ni chache mno ninazopata. Ukiniconnect itanisaidia Sana
Mimi nimesema nitakuconnect ya kuuza pads shuleni, ya vyoo wanaajirigi cheap labour kufanya usafi mama.
 
OK, haina ubaya endelea kuiweka tu mama! Maana nyie akina mama hamna ubaya na mtu! Kwa ujumla wake huwezi kufuatiliwa na wasiojukana!
Nimeuliza kupata kujua ubaya wake, ungenijibu tu vizur ningefurahi maana Kweli sijui Ndo maana Nimeuliza
 
Ubaya wake mama ukisikia watu wamwdakwa na wasiojulikana ni kutokana na kuweka mawasilianao hadharani kama hivi. Sasa hivi Cutelisa tumekuweka kwenye kumbukumbu zetu, siku ukiweka post ya kutuchoma tu tuna wewe!
 
Back
Top Bottom