Naitwa Lisa ni mwanafunzi. Nina mawazo matatu ya biashara.
1. Kuuza huduma ya kusafishia masinki ya chooni yenye uchafu sugu pamoja na tiles.
Hasahasa kwenye bars, gesti, mashuleni na nyumba za kupanga au nyumba za kota.
Changamoto inakuja nashindwa kupata tenda kubwa kwasababu Sina kampuni Kama maofisi makubwa yanafanya kazi na kampuni sio Mtu binafsi.
2.kuuza taulo (pads) za kike za kufua bado sijajaribu kuifanya na mtaji wake ni Kama 100000.
3. Kuuza mafuta ya mnyonyo. Pia mtaji wake ni Kama laki
Naombeni ushauri katika mawazo hayo matatu ni lipi ni bora nikomae nalo.