Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie mawazo yenu ili kujua kama hivi navyofanya ni sahihi au natwanga maji kwenye kinu..??....
Ni hivi,tangu niko darasa la 6 nilianza kujihusisha na kujichua yaani masturbation,ilifikia kipindi nikawa addicted,mpaka kufikia kidato cha kwanza nilishaanza kuuchukia huo mchezo maana siku ya kwanza kukutana na mwanamke ilikuwa aibu tupu,nikapambana sana mpaka nikivyofika kidato cha 4 niliweza kabisa kuacha na kipindi chote sikukutana na mwanamke.......mwaka jana kidato cha 6 nilukutana kimwili na mwanamke aiseee yani kuchomeka tu nimeachia mzigo...siku ya pili nikajitahidi kidogo angalau kwa kuchomoa chomoa dakika 2...sasa nikaanza kujichukia mwenyew na bahati mbaya yuke dada alikuwa beki 3 huyo akaenda kwao,na sasa ndo nimekutana na mtu ambaye naamini atakuja kuwa mke wangu kwani amenivumilia sana......
Jambo ninalotaka munisaidie sasa ni hili,nimepitia articles mbali mbali kwenye internet ambazo zinaelekeza kuwa muathirika wa pre mature ejaculation ya punyeto anaweza kujitibu kwa punyeto iyo iyo ila ni kinyume chake yaani kuhakikisha unachelewa zaidi na kujifunza kuujua mwili wako na ni vipi ujizui pale unapofikia orgasm na kweli nimeanza kupractise hii kitu,kabla ya kuanza hii kitu ilikuwa nikiigusa tu mashine ndani ya dakika moja nshacheua lakini baada ya kupractice hii kitu naona kuna progress na tangu nianze nimekutana na mpenzi mara moja angalau hata dakika 3 nimefika....
Swali langu kwenu je hii njia ni sahihi??? au ndio nimerudi rasmi kwenye nyeto???....nipeni mawzo yenu ili nijue kama niendelee au niimwage kwani japo mpenzi ananivumilia ila ipo siku atachoka.....NI HAYO TU