Mawazo yako ni muhimu, nataka kununua gari Japani kupitia mtandao

chumachakavu

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
53
Reaction score
62
Nataka kununua gari kwa njia ya mtandao kutoka kampuni moja iliyopo Japan. Je usalama wa manunuzi kwa njia ya mtandao upoje. Pia vipi gharama za kutoa gari bandarini. Gari ninayotaka kununua ni Noah.
 
Kuna moja niliiona ni ya mnada ya huko huko Japan nilipenda kununua IPA sijajua utaratibu ngoja waje
 
Nataka kununua gari kwa njia ya mtandao kutoka kampuni moja iliyopo Japan. Je usalama wa manunuzi kwa njia ya mtandao upoje. Pia vipi gharama za kutoa gari bandarini. Gari ninayotaka kununua ni Noah.
Kama unahitaji Kununua gari Japana unaweza kuwasiliana na mimi Naweza kukusaidia katika kila hatua ila kwa gharama nafuu na kwa uwazi zaidi. Lakini Pia Ushauri mpaka gari lako linatoka Bandarini unalimiliki Tuwasiliane hapa 0712 390 200
 
Usalama ni mkubwa
Nataka kununua gari kwa njia ya mtandao kutoka kampuni moja iliyopo Japan. Je usalama wa manunuzi kwa njia ya mtandao upoje. Pia vipi gharama za kutoa gari bandarini. Gari ninayotaka kununua ni Noah.
Unataka noah noah ipi Old Model au New Model? Usalama unategemea pia Hio kampuni japokuwa makampuni mengi sahivi usalama ni Mkubwa. Ukihitaji unaweza kuwasiliana na Mimi kwa namba hio 0712390200 Kampuni yoyote japan nakuletea
 
Nataka kununua gari kwa njia ya mtandao kutoka kampuni moja iliyopo Japan. Je usalama wa manunuzi kwa njia ya mtandao upoje. Pia vipi gharama za kutoa gari bandarini. Gari ninayotaka kununua ni Noah.
Kama Makampuni tu yaliyoko Japan huna uhakika na usalama wake basi kwa mtu Bianfsi tena Mbongo ndio sikushauri kabisa. Ungetaja na Kampuni ingesaidia zaidi, ila kuna makampuni ambayo ni reliable kabisa kama vile Autorec, etc.

Ukiweza pia kuna ambao wana mawakala wao hapa tanzania na wana ofisi kabisa, Ofisi hizo ziko Posta mtaa wa samora naonaga ziko nyingi, Quality Centre Pugu Road, JM Mall, etc
 
Back
Top Bottom