Mawazo yako yana hitajika

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
127
Reaction score
29
HABARI WANAJF
MM NIKIJANA AMBAYE NIMEHITIMU B.A IN HISTORY UDSM MWAKA JANA .SASA NILICHELEWA KUBADILI KOZI ILI NISOMEE UALIMU.SASA NIMEPELEKA BARUA YA MAOMBI WIZARA YA ELIMU WANIPE POST MWAKA HUU YA KUFUNDISHA ILI BAADA YA MIAKA MIWILI AU MITATU NISOME POSTGRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION.SASA JE NAWEZA KUPATA NAFASI YA KAZI KWELI TOKA WIZARANI.?Asante
 

Utapata Mkuu, bado tuna upungufu wa walimu! Shemeji yangu graduate wa LAW udsm, alienda kuomba kama ww, tena alichagua mpaka mkoa na wilaya ya kwenda, wamempangia Arusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…