Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko

Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko

alvinroley

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
71
Reaction score
251
Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi wachache sana walioandika hili na hata inaelezwa ndio kitu halisi alichomuambia rafiki yake Gabriel Jesus.

Asingeweza kuwa mkubwa namba moja dunian kama angeendelea kucheza as a son of lionel messi pale Catalunya, alihitaj kuwa nje ya messi kuimarisha empire yake na ukubwa wake.

Theory hii pia ilitaka kumkimbiza kyrie irving wa Cleveland Cavaliers, anahtaj kuwa mkubwa zaid bt haitawezekana kama ataendelea kucheza as a son of lebron james. Theory hii ndio wachambuzi wa kikapu pale NBA walimueleza Paul George aliyetoka Pacers kwenda Oklahoma kuwa hautakuwa mkubwa tena kama unaenda kucheza as a son of Russell Westbrook, vivyo hvyo kwa zitto kabwe aliona hataweza kuwa the great kama ataendelea kuwa chin ya mbowe na akaamua kutaka kugombea uenyekit na alipogonga mwamba akaamua kujitoa. rich mavoko hautakuwa mkubwa zaid ya hapo ulipo kama utaendelea kuwa a son of diamond platnumz, utaendelea tu kuprevail na hautapotea but hutakuwa zaid tena.

Wanamuziki wote wanaoshine under the umbrella of somebody huwa hawakui. Rejea Mayokhoun wa Davido, still hajulikan, rejea Bred wa Davido pia hayuko on air kivile. Yuko wapi Correde Bello a son of Don Jazz? Hata Tekno kama sio kustukia kujitoa kwa Davido asingekuwa star mkubwa Afrika.

Fally na wengineo walijitoa chini ya kaka zao ndio wakajulikana zaid Afrika. Miaka 7 au 8 iliyopita ulikuwa ukichukuliwa kama mtu pekee tanzania uliyekuwa ukishindanishwa na diamond. But now unasimamishwa level za baraka, rayvan na neddy. Walichofanya diamond na joh makin ni akili kubwa mno. walihofia majina kudondoka baadae, na wakaamua kujenga empire ili kila memba wa empire lolote atakakofanya au popote atakapokwenda atakuwa anamuwakilisha yeye, ndio maana rich mavoko lolote afanyalo na popote aendapo tunaliona jina la diamond platnumz likipepea na si jina la rich mavoko.

NI MAWAZO NA MATAZAMO WANGU..
NINI MAWAZO NA MTAZAMO WAKO? (Free Discussion)
 
TOKA AMEIMBA PEKE YAKE ULIWAHI SIKIA AMEWANIA TUZO YA KIMATAIFA???AFU PALE NI LEBO TU ILA KILA MSANII ANAFANYA KAZI ZAKE KWA MSAADA WA LEBO ILE.
TOGETHER WE CAN MAKE A WAY TO SUCCESS
 
Mawazo mazuri lakini kumbuka hata kabla ya kuwa WCB alikuwa anajitegemea yeye mwenyewe napengine kuna mambo ambayo ameexprience hadi kuingia WCB all in all yeye ndo anaejua anachofanya tumuaachie aamue mwenyewe
 
Sidhan Kama uchambuzi wako uko sahihi.MAvoko kwasasa kimataifa hajulikan Kama ilivyo kwa rayvanny Na harmonize.Binafsi naona atafika mbali akiendelea kuwa chini ya WCB atafika mbali.KAma isingekua bila WCB rayvanny na Harmonize wasingefika huko walikofika.
 
Sijasema kwamba akiwa WCB hatopata maendeleo, atapata maendeleo lakini sio kwa kiwango cha kumzidi Boss wake Diamond. Coz he is son of diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan Kama uchambuzi wako uko sahihi.MAvoko kwasasa kimataifa hajulikan Kama ilivyo kwa rayvanny Na harmonize.Binafsi naona atafika mbali akiendelea kuwa chini ya WCB atafika mbali.KAma isingekua bila WCB rayvanny na Harmonize wasingefika huko walikofika.
Nilichosema 'Ni kweli atafika mbali lakini hatoweza kumzidi Mond sababu kila anachofanya kina peperusha bendera ya Mond na sio yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichosema 'Ni kweli atafika mbali lakini hatoweza kumzidi Mond sababu kila anachofanya kina peperusha bendera ya Mond na sio yeye

Sent using Jamii Forums mobile app

He once was considered a competitor to Diamond Platnumz, he then started to decline until he joined WCB.

Considering how he was going down day in day out, joining WCB was a promotion to him, he rejuvenated his career to an extent that he could only reach in a dream.

He is just an average musician, one of those talented people who needs people around to unlock their potentials.
 
Kama kuna mtu hajakuelewa nitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ningeelewa.... Jifunze kuwa straight..
 
Pointi yako nimeipata vyema kabsa mkuu. Lakini naweza sema pia unaweza ukaenda kanisani lakini kwa melengo ya kusikia neno hapo bado we ni Muslim! Unanipata hapo? Hiko kitu unachoongea kipo dunia nzima tena si kwenye sanaa tu hadi maisha halisi, mfano, ukiwa kwenu na umeridhika nakilakitu cha home ni vigumu kutafta chako, lakini kunawale wanakua home kwasababu tu anajipanga ila akili yake yote na malengo ni kwenda kukaa kwake lakini hawezi kukurupuka nabidi apate msaada wababa na mama japo jitihada na nguvu ni zake. Na ndiomana lil Wayne akiwa chini ya cash money alianzisha young money na alipoona bado anazinguliwa akaachana na baba yake birdman. The same kwa wasanii wayoung money kama drake yupo chini ya lil Wayne but analebo yake ovo na anafanya mambo yake.

So hapo ni akili ya mavoko tu kama atakua karidhik kuwa wahapahapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is as simple as that, join the winning gang to win, especially if you are losing.
Watu wamesahau kwamba Rich Mavoko kabla hajajiunga WCB alikuwa ashaanza kusahaulika kwenye game ya bongo, pamoja na kutoa ngoma kali kama Pacha wangu aliishia kupuuzwa, ilifikia kipindi alikimbilia Kenya kujaribu bahati yake but still haikumsaidia, so hata hapa alipo kwake ni hatua kubwa

Hiyo ndo point mkuu, nimekuwa nikimfatilia dogo since then, mpaka anakuja kuamua kujiunga na WCB alikuwa flop tayari.

But now he is back in our thoughts, he is competing again, he is making money while doing what he loves more.
 
Back
Top Bottom