Mawazo yangu katika katiba mpya

Mawazo yangu katika katiba mpya

manasa

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
88
Reaction score
7
Iwapo mbunge hajatimiza ahadi alizo ahidi wananchi waliomchagua wamwajibishe au asipate nafasi ya ugombea tena kipindi cha kwanza kikiisha.
Hii itasaidia wabunge kuwakilisha wananchi bungeni ipasavyo na pia hawata bweteka.
 
Back
Top Bottom