M manasa Member Joined Apr 2, 2012 Posts 88 Reaction score 7 Apr 27, 2012 #1 Iwapo mbunge hajatimiza ahadi alizo ahidi wananchi waliomchagua wamwajibishe au asipate nafasi ya ugombea tena kipindi cha kwanza kikiisha. Hii itasaidia wabunge kuwakilisha wananchi bungeni ipasavyo na pia hawata bweteka.
Iwapo mbunge hajatimiza ahadi alizo ahidi wananchi waliomchagua wamwajibishe au asipate nafasi ya ugombea tena kipindi cha kwanza kikiisha. Hii itasaidia wabunge kuwakilisha wananchi bungeni ipasavyo na pia hawata bweteka.