theprogrammer C++
Senior Member
- May 17, 2013
- 150
- 385
Sijamtaja mtuNaona kama hii post yako ipo kufitinisha kati ya generali wetu na wanasiasa….
Ila the guy is playing his card well and underdog.. mtoa mada ametoa hint flani hii farfetched ila kwa siasa za Tanzania inawezekana.Cha msingi cha kukumbuka ni kwamba historia ya siasa za Tanzania haijawahi kufuata formula ya hisabati. Huwa highly unpredictable. Kumbuka jinsi Magufuli alivyotokea upande ambao hakuna mtu aliyetarajia mwaka 2015, kwa hiyo, hii nadharia ya kwamba mkuu wa DCEA au chombo chochote ataandika historia ya 2030 sasa hivi inaweza kuwa kweli, lakini pia inaweza kuwa distraction tu huku mtu mwingine kabisa asiyetarajiwa akijipanga kimyakimya chini ya kapeti. We just have to wait and see how the cards play out.
Just enjoy the moment mkuu.. ukiwa hai au usipokua hai vyote sawa tu… kwani ushazeeka nini?Ni watoto wadogo tu ndio wanaweza kufikiria Uchaguzi wa 2030.
Mimi sijui kama nutakuwa hai 2030. I am too old
I agree.. 2030 anaweza akatoka mgombea kutoka kwenye vyombo vya utendaji vyenye pr nzuri. Mpaka sasa DCEA wanafanya kazi na PR yao ipo topnotch.Ila the guy is playing his card well and underdog.. mtoa mada ametoa hint flani hii farfetched ila kwa siasa za Tanzania inawezekana.
Una Akili sana.I agree.. 2030 anaweza akatoka mgombea kutoka kwenye vyombo vya utendaji vyenye pr nzuri. Mpaka sasa DCEA wanafanya kazi na PR yao ipo topnotch.
Kama mlikuwa hamtarajii Magufuli kuibuka kinara basi hamjui kufuatilia trend za siasa mnaenda kwa mkumbo tu.Cha msingi cha kukumbuka ni kwamba historia ya siasa za Tanzania haijawahi kufuata formula ya hisabati. Huwa highly unpredictable. Kumbuka jinsi Magufuli alivyotokea upande ambao hakuna mtu aliyetarajia mwaka 2015, kwa hiyo, hii nadharia ya kwamba mkuu wa DCEA au chombo chochote ataandika historia ya 2030 sasa hivi inaweza kuwa kweli, lakini pia inaweza kuwa distraction tu huku mtu mwingine kabisa asiyetarajiwa akijipanga kimyakimya chini ya kapeti. We just have to wait and see how the cards play out.
Kumbuka hata Membe, Pinda, na Bilal walikuwa na kambi zenye nguvu sana kuliko Magufuli. Magufuli hakuwa na kambi ya kisiasa ndani ya chama, yeye alikuwa anajulikana kama mtendaji tu mkorofi mtaani. Kwenye siasa za CCM, kutokuwa na kambi huwa ni tiketi ya kukatwa mapema sana. Kupenya kwake kulikuja kama compromise candidate baada ya kambi kubwa za kina Lowassa na Membe kuchinjana na kuleta hatari ya kukivunja chama.Kama mlikuwa hamtarajii Magufuli kuibuka kinara basi hamjui kufuatilia trend za siasa mnaenda kwa mkumbo tu.
2015 kulikuwa na factors nyingi sana zinazoashirian Magufuli kuwa candidate.
Cc Pascal Mayalla
Mkuu Marikosti, Marcostilone , angalia tarehe ya bandiko hili GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliCha msingi cha kukumbuka ni kwamba historia ya siasa za Tanzania haijawahi kufuata formula ya hisabati. Huwa highly unpredictable. Kumbuka jinsi Magufuli alivyotokea upande ambao hakuna mtu aliyetarajia mwaka 2015,
Ni nani atampitisha?huenda akatokea mtu ambaye hatahitaji kuzunguka na ilani ndefu ya CCM. Watu watakuwa wanamtambua kwa rekodi ya operesheni, kukamata wahalifu na kusimamia sheria.
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..Ni nani atampitisha?
Kikwete atamkubali??