SoC04 Mawazo yangu makuu mawili yatakayokwenda kunisaidia Taifa ni

SoC04 Mawazo yangu makuu mawili yatakayokwenda kunisaidia Taifa ni

Tanzania Tuitakayo competition threads

Pgkweka

New Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Kwa majina naitwa Praygod Kweka jina La sanna (Baghdad) Nasibu KATIBU Mkuu Tuma - Chama cha muziki wa kizazi kioya, ni Msanii wa fan I ya hip hop mtunzi wa Movie, Muongozaji wa movie na mtangazaji kwa miaka 10 kwa sasa nimeanzisha Kampuni Inaitwa Iqon Company Ltd hivyo nimejiajiri.

Mawazo yangu MAKUU mawili yatakayokwenda kunisaidia Taifa ni

1. Nina mpango kazi kwa kushirikiana na TAMISEMI mikoa kugawanywa kwa kanda na kuweka kujiendesha kwenye mradi yao ya kimaendeleo na mradi itakayokuwa ya kimkakati itakayoongeza pato La Taifa kuanzia utamaduni, Biashara vyakula nk, nikipatiwa nafasi ya kuelezea kwa kina lipo Andiko (Proposal) nitakuja kujieleza

2. Bima ya Chakula kuwa na mkakati kwa wafanyakazi wote wa mashirika ya una na binafsi kuwa na kifurushi Maalimu kulingana na uhitaji wake kitakachompa uhakika wakala kwa kadiri alivyokata kuanzia mwezi hadi miezi mitatu kisha malipo yatalipwa na hazina moja kwa moja kwenda kwenye Kampuni yangu, maamuzi ya mfanyakazi ni kuwepo au kutokuwepo na gharama ya vitu itakuwa Chini ya bei anayoipata Dukani.

Endapo nitapatiwa nafasi nawaza kuja kufanya ufafanuzi wa maswala hayo yote mawili
 
Upvote 3
Bima ya Chakula kuwa na mkakati kwa wafanyakazi wote wa mashirika ya umma na binafsi kuwa na kifurushi Maalimu kulingana na uhitaji wake kitakachompa uhakika wa kula kwa kadiri alivyokata kuanzia mwezi hadi miezi mitatu kisha malipo yatalipwa na hazina moja kwa moja kwenda kwenye Kampuni yangu
Anhaaa, watakubali kweli? Na kama sie wafanyakazi tutakubali
 
Back
Top Bottom