mawazo yenu yanahitajika xana

mawazo yenu yanahitajika xana

ng'wanishi

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
34
Reaction score
1
kuna mtu kapata 4 ya 28 kwenye matokeo yake ya o level. Anahitaji msaada wa mawazo nini cha kufanya ili kujikwamua kielimu zaidi.
 
Sema dogo. Isijekuwa ni wewe na unaona aibu kusema hapa jamvini. Usijari, wengi hatujuani hapa jukwaani.
 
Kama anataka akasome ualimu then atajiendeleza baadae au kama anaweza anaweza tafuta chuo aanze ngazi ya cheti then ataendelea taratibu kuunganisha mpaka atafikia lengo lake.....namtakia mafanikio mma popote atakapochagua
 
kuna mtu kapata 4 ya 28 kwenye matokeo yake ya o level. Anahitaji msaada wa mawazo nini cha kufanya ili kujikwamua kielimu zaidi.

upo jukwaa la wasomi tunaandika sana-na sio xana hatuna neno hili kwa kiswahili labda uende kwa wasotho
 
upo jukwaa la wasomi tunaandika sana-na sio xana hatuna neno hili kwa kiswahili labda uende kwa wasotho

Yeah! watoto wa .com kazi! kweli we still like our letter 's' and we don't appreciate your interchange of s to x.
Dogo karisit form four au ujiunge na chuo cha elimu ya ufundi kama veta na vinginevyo upate certificate->Diploma->Degree->Masters->Doctorate->....maisha yanaendelea. Tofauti yako na aliyepata one ni kwamba ww umeteleza kidogo! ila u can still stand up and keep on with the fight! hata ukaja kumpita in life mdogo wngu.

Ila acha habari za xana, xul, xaxa, ndo znafanya seriousness shuleni inashuka
 
Kama kafaulu bios,phy,chemistry mwambie aombe certificate za medicine kama nursing,clinical assistant n.k
 
Back
Top Bottom