Mawazo...

Mawazo...

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
23
Hii picha imenigusa sana...! Sijui anawaza nini huyu mtoto...!
 

Attachments

  • Mawazo.JPG
    Mawazo.JPG
    199.6 KB · Views: 326
masikini mtoto huyu mzuri, huenda ana njaa au hajamuona mama yake kwa kitambo. Mungu turehemu watoto wako
 
Jamani mtoto anakuwa na mawazo namna hii akiwa mdogo hivi... Je akifika umri wa ukubwa itakuwaje???
Tusipenda kuwajengea watoto wetu mazingira kama haya, maana tunawafanya wakate tamaa ya maisha....na washindwe kutimiza ndoto zao.
 
masikini mtoto huyu mzuri, huenda ana njaa au hajamuona mama yake kwa kitambo. Mungu turehemu watoto wako

Yes, watoto huwa na mawazo mno wanapowakosa mama zao. I wish mtoto huyu hafikirii kumkosa mama yake.
 
maisha magumu kama ilivyo kwa watu wengi wa TZ na Africa yote. Haoni future
 
Hii picha imenigusa sana...! Sijui anawaza nini huyu mtoto...!

Huyu Mtoto Akiandamana Leo CCM Watampiga Risasi ni Makosa kwa Mtanzania Yeyote Yule Kuandamana Bila Kibali cha JK. Hii Ndio Amani na Utulivu wa Watanzania.
 
......Mtoto mzuri, nimekapenda jinsi kalivyo, mwenyewe ana mawazo sijui anawaza nini? Au anafikiri jinsi ya kubeba hiyo ndoo!!
 
the world without is the reflection of the world within,
what appears without is what has been found within.
in the world within may be found infinite wisdom,infinite power,infinite supply of all that is necessary,
waiting for unfoldment,development and expression.
if we recognize these potentialities in the world within they will take form in the world without.
the baby is troubled in the world within.....and it shows in the world without.
 
Njaa,mama na baba hawapo au wanaumwa,yawezekana hana nguvu akaona akae hapo,hana raha wenzie wameenda chekechea ye tuko tu home anasubiri maji pengine.Duh,maisha haya!
 
Wandugu hii ni 'The other side of life'
 
Awwww! What a cute baby.

Mungu muweke aje asaidie wazazi wake na wa wengine.
 
Regardless, matatizo ya dunia wachaeni watoto wetu waenjoy their childhood, wakishaanza kuwaza hivyo wakifika wakubwa watachanganyikiwa kabisa.
 
mnh...very sad,we dont know what is happening to this kid mpk awe na mawazo hivyo!..........one thing is certain kikwete na serikali yake ya kifisadi wako rensponsible kwa mawazo ya huyu mtoto!!... mungu amsaidie apate hope!
 
katoto kazuri sana na afya tele mhhhhh
 
Huenda kanaishi na mama wa kambo ambaye amekapa ndoo kakachote maji. Sasa kanajiuliza kama kataweza kuhimili hiyo ndoo ikiwa na maji...
 
huyu mtoto anasikitishwa na suala la umeme na dowans...
 
huyu anawaza jinsi chadema wanavyotaka kuiingiza nchi kwenye matatizo


anawaza kuwa sasa ndio zamu ya watoto wa Tz kuteseka

eeh jamani mungu epushia mbali
 
Back
Top Bottom