Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu
1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche!
2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila kupata matokeo!, ari na morali ya Stars imeimarika sana na wachezaji wanajituma sana ,pongezi kwa hilo.
3; Uchaguzi wa kuanza na Mudathir na na Mao ulikuwa sawa sana dakika 35 hivi za kwanza baada ya hapo ikawa wanapata tabu sana kulink pamoja, hii ni kutokana na kucheza karibu karibu sana hao wawili hasa Mao na kumpa tabu Mudathir sana.
4; kama kuna siku ambayo Mwamnyeto amecheza sana basi leo ni mojawapo! Alienda juu, akafata chini popote pale! Ooh so okay.⛏️⛏️
Mnyonge mnyongeni nafasi yake mpeni.
5; Stars wameimarika sana katika kuzuia mipira ya juu, ni changamoto ndogo ndogo sana ndiyo shida
Kumzuia patson Daka linapokuja swala la mipira ya juu sio easy task wajameni, jamaa anatisha hatari kama njaa ni vile ubora wa Ally Salim golini na mabeki otherwise tungeumia.
6; Ally salim! What a golie?
Alitulia kwa kiasi kikubwa sana ingawaje umbo lake nalo ni kikwazo kwake hasa mipira ya juu ilimpa shida sana .
Alituliza pressure ilipobidi na hata kupooza game inapotakiwa good game . Kuna michomo mikali mikali yeye aliidaka sio kutema😯😯
7; Feisal anacheza na pressure kichwani anakifukuza kivuli chake..! Atulie
8; Bacca ,defending as usually askari hana ratiba yeye mpe kazi atakufanyia, anaenjoy kuzuia a pure art of defending!
9: Barua anahitaji zaidi muda wa kucheza A good player.
10; Winga yule namba 7 mgongoni [kampamba] something like that.
Ni winga hatari sana ukifanya mzaha lusajo atalala amechoka sana sana🤣🤣
NB; Zanzibar finest kageuka Kilwa finest.