Mawe kwenye kibofu

Lucy Mbasha

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Za saa hizi ndugu zangu.

Leo nilienda hospitali na kaka yangu kumsindikiza kupigwa ultrasound. Baada ya vipimo kumalizika akakutwa na jiwe kwenye kibofu cha mkojo la 0.72mm.

Amepewe cystones lakini hazimsaidii, nilikuwa naomba ushauri wa dawa ya asili au hata za dukani zinazoweza msaidia.

Muwe na siku njema.

Asanteni.
 
Pole sana.Niko mbali na nyumbani nikifika nitakupakulia.Nitaleta hapa muniombee tu kikao kiishe haraka.
 
poleni sana, mdogo wangu alisumbuliwa muda mrefu na hiko kitu lakini alifanyiwa upasuaji na alitolewa kwa sasa yupo safi kabisa tunamshukuru mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…